Break Up Day iliniumiza sana kichwa – Sarah Kim
Stori: Ng’osha Gabriel
Mwanamuziki wa Muziki wa Hip Hop, Sarah Hopah Kimario ‘Sarah Kim’ ameibuka na kusema kwamba ngoma yake mpya ya Break Up Day ndiyo iliyomuumiza kichwa chake katika kipindi alichokuwa akiitunga.
Akipiga stori…
