Masauni: IGP Nataka Uniletee Majina ya Askari Wasio Waaminifu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro kumletea majina ya askari Polisi wanaojihusisha na matukio yasiyo ya maadili ili aweze kuwashughulikia.…
