Watoto Walionusurika Ajali Karatu, Kuagwa Jumapili Kwenda Marekani
ARUSHA: Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amesema kuwa, tayari ndege aina ya DC 8 imepatikana ambayo itawasafirisha watoto watatu walionusurika kwenye ajali ya gari Karatu kwenda kutibiwa nchini Marekani mpaka pale…
