Sven Awajibu Mashabiki Simba SC
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amewajibu mashabiki wa Simba kuhusu jina lake la utani ‘kishingo’.
Alipojiunga na Simba mashabiki wa timu hiyo walimpa jina la utani ‘kishingo’ kutokana na muonekano wake.Sven ambaye…
