Waziri wa afya atembelea hospitali ya Taifa Muhimbili leo
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Ummy Ally Mwalimu akiingia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) leo asubuhi kwa ajili ya kukagua utengenezaji wa mashine ya MRI na CT- Scan.
Waziri wa Afya Maendeleo…
