Rais Magufuli kaanza fresh, tukimuangusha itaniuma sana!
Rais Dk. John Pombe Magufuli.
MWEZI mmoja unakatika sasa tangu Dk. John Pombe Magufuli aapishwe na kuanza kazi yake ya urais wa serikali ya awamu ya tano. Ingawa hadi andiko hili linaandikwa alikuwa bado hajataja Baraza lake la Mawaziri,…
