Tundaman Aomba Radhi Kwa Kile Alichokifanya Kwenye Sherehe za Simba Day
KUFUATIA shutma nyingi na malalamiko dhidi yake kwa kile alichokifanya wakati akitumbuiza kwenye kilele cha tamasha la Simba Day, leo Agosti 11 2022 msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Tundaman akiambatana na msanii mwenzie Stan…
