Yanga Yatinga Nusu Fainali SportPesa kwa Mbinde
Yanga imetinga nusu fainali ya Sports Pesa Super Cup kwa mikwaju ya penalti.
Yanga imeing'oa Tusker ya Kenya kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila bao.
Kipa wa Yanga, Deo Munishi…
