Mke wa kafulila Aibua Ufisadi wa Trilion 1.3 Sakata la SONGAS – Video
WAZIRI Kivuli wa Nishati, Jesca Kishoa amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai kumuita mbele ya Kamati ya Bunge na Maadili, Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa madai ya kulidanganya Bunge na kushindwa kufanyia kazi taarifa za Ufisadi unaendelea…
