Iran Yaapa Kulipa Kisasi kwa Kundi la Magaidi Lililoua Watu 15
RAIS wa Iran, Ibrahim Raisi ameapa kulipiza kisasi dhidi ya kundi la kigaidi lililotekeleza mashambulizi katika sehemu ya ibada ya waumini wa Shia na kusababisha vifo vya watu 15.
Pia, watu 19 walijeruhiwa kwenye shambulizi…
