KESI YA VIGOGO KAMPUNI YA SIX TELECOMS WARUDISHWA RUMANDE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaja tarehe nyingine ya kuendelea na kesi ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya USD 3.7 milioni ambayo ni sawa na bilioni nane inayowakabili vigogo wanne wa Kampuni ya Six Telecoms Limited na…
