TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA SIMBA SC AFARIKI DUNIANI
MCHEZAJI nyota wa zamani wa Simba, Urther Mambeta amefariki dunia jana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mambeta alikuwa mmoja wa wachezaji wa Klabu ya Sunderland kabla ya kubadilishwa jina na kuitwa Simba Sc…
