Seli za Ubongo Zilotengenezwa Kwenye Maabara Zinacheza Ping Pong
WANASAYANSI wamezifunza seli za ubongo kucheza mchezo uitwao ping pong ambapo wachezaji wawili hutumia kasia kuupiga mpira mbele na nyuma na huishia kutengeza mlio wa pong na ndio maana kuishia kuitwa pong, ikiwa seli laki nane zimefuzu…
