Van Persie Amlilia Gyan
MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United na Arsenal, Robin van Persie ametuma salamu za rambirambi na kutoa heshima kwa mchezaji mwenzake wa zamani Christian Attah Gyan aliyefariki siku ya Jumatano.
Beki huyo wa zamani wa Ghana na…
