The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Vanessa

Mastaa Wamezea Mate Penzi la Vanessa

MASTAA wengi Bongo wamekuwa wakieleza waziwazi wanavyoizimikia na kuimezea mate kapo ya staa mwenzao wa kike Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na mpenzi wake, Olurotimi Akinosho almaarufu Rotimi. Rotimi ni staa wa muziki, uigizaji na…

‘Kirusi’ Hatari Kinawamaliza!

KATIKA historia ya muziki nchini, tuliona wanaume ndiyo waliamka na kuitengeneza tasnia hii katika nyanja mbalimbali.Wanamuziki wakali wa kiume waliibuka enzi hizo na kuikuza sanaa ya burudani kwa kutoa kazi kali katika uwanda wa Bongo…