Walter Chilambo Ampandisha Mpenzi Wake Stejini – Video
IKIWA ni mwendelezo wa vibe la Kongamano la Victory Campus Night la mwaka 2019, muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Walter Chilambo, usiku wa kuamkia leo amemtambulisha rasmi mpenzi wake (pichani) baada ya kupanda naye kwenye…
