Waoo…! Kama Jana Vile!
ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:
Nje ya hospitali hiyo kuna kituo cha daladala, sasa zilipita kama tatu bila kusimama, mama Monica akahisi wanamwacha kwa sababu yeye ana virusi.
Daladala ya nne aliamua kuipungia mkono ili isimame, konda…
