Dtk. Mpango Kuongoza Mkutano wa Kimataifa wa Udhibiti Fedha Haramu
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango ambaye ni mwenyekiti wa baraza hilo anatarajia kuongoza Baraza la Mawaziri kutoka Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika kitakachozungumza udhibiti utakatishaji fedha haramu.…
