×

Tag: Wizara ya Afya

Tazama Hapa Majina ya Waombaji Walioitwa Kazini Ajira za Kada ya Afya

WIZARA ya Afya imetoa orodha ya watumishi walioitwa kazini kufuatia waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye tovuti...

READ MORE

Serikali Kuandaa Kanuni za Udhibiti wa Bei ya Dawa na Vifaa Tiba

SERIKALI ipo mbioni kuandaa kanuni za kudhibiti bei za dawa nchini na tayari rasimu ya kanuni hizo zimeshawasilishwa kwa Mwanasheria...

READ MORE

Dr Mollel Aagiza Uchunguzi Ufanyike Juu ya Miradi ya Mkandarasi MUST

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameitaka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Wizara yake kufanya tathmini ya kina ndani...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Maamuzi Magufmu Wizara ya Afya – Video

KATIKA kuboresha huduma ya afya nchini, Serikali imenuia kuitenga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka...

READ MORE

Wanaopata Shida ya Kupumua Waaswa kutokutaharuki, Waelekezwa Dawa Asili

  WATANZANIA wanaokumbwa na maradhi ya kushindwa kupumua vizuri na kubanwa mbavu  wameshauriwa wasipate taharuki kwani kuna dawa makini ya...

READ MORE

Serikali Yafanya Kikao na NGOs Nchini

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekutana na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika kikao kazi cha...

READ MORE

Serikali Yasikitishwa Na Kitendo Cha Askali Kumpiga Ndugu Wa Mgonjwa

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesikitishwa na kitendo askari wa ulinzi (SUMA –...

READ MORE

Wanaodaiwa Kuiba Dawa Ukerewe Watumbuliwa

WATUMISHI watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa vyombo vya maadili ya utumishi wa...

READ MORE

Mrithi Wa Ummy Mwalimu Gumzo, Abebwa Na Falsafa Ya Utendaji Wa Kasi

KATIKA majina ya mawaziri waliounda Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’, wiki iliyopita, jina la...

READ MORE

Hospitali za Rufaa, Mikoa Sasa Mikononi Mwa Ummy

Waziri Ummy Mwalimu alipokuwa Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam leo.   HOSPITALI 28 za rufaa na mikoa  nchini...

READ MORE

Kauli ya Serikali Kuhusu Ugonjwa Hatari wa Ebola Nchini – Video

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, imetoa tamko kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola, ambapo imethibitisha kwamba mpaka sasa ugonjwa huo haupo...

READ MORE

MADAI YA KUSIKITISHA, BABA AZAA NA BINTIYE!

Dunia imekwisha! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia jamaa mmoja mkazi wa Mabibo-Mahakama ya Ndizi kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

Dk. Ndugulile Azindua Kambi ya Upimaji Macho, Shinikizo la Damu, Kisukari

Naibu Waziri Wa Afya Mheshimiwa Faustine Ndugulile (Mb) leo amemuwakilisha Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mheshimiwa...

READ MORE

VIDEO: OFM KAZINI… DAKTARI ‘MUUAJI’ ANASWA!

  Jamaa aliyejitambulisha kuwa ni daktari wa hospitali moja iliyopo maeneo ya Buza jijini Dar, aliyetajwa kwa jina moja la...

READ MORE

VIDEO: Serikali Yatangaza Kutokomeza Homa ya Ini

SERIKALI imesema itaweka mikakati ya nguvu katika kudhibiti na kuutokomeza kabisa ugonjwa wa homa ya ini kulingana na Mpango Mkakati...

READ MORE

Madaktari Watanzania Waliokidhi Vigezo Kufanya Kazi Kenya, Waitwa Kazini -Majina Bofya Hapa

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Wanawake Jinsia na Watoto imewaita kufanya kazi madaktari waliokuwa wamekidhi vigezo vya kwenda kufanya kazi...

READ MORE

Kigwangallah Aongoza Maadhimisho ya Siku ya Ustawi wa Jamii Dar

Na Denis Mtima/GPL NAIBU Waziri katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangallah,...

READ MORE

Serikali kuja na pedi za kike ambazo zinaweza kutumika zaidi ya mara moja

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangalla. Naibu Waziri wa Wizara...

READ MORE