Lagos, Nigeria
TUMESHUHUDIA stori zikisambaa mitandaoni kwa kasi wikiendi iliyopita kuhusu bifu la mastaa wa muziki nchini Nigeria, mapacha wa tumbo moja wanaounda kundi la P-Square (Paul Okoye na Peter Okoye), ugomvi ambao umetajwa kuhusisha zaidi mambo ya kifamilia.
Mapacha hao wameonekana kujutia kile kinachopendelea kati yao huku kila mmoja akiweka post kwenye ukurasa wake wa Instagramu akieleza kuumizwakwake na hali hiyo na kusema kuwa wanachotakiwa kufanya kwa sasa kuthamini na kujali mustakabari wa familia yao kwanza. Bifu hilo linahusu menejimenti yao, hali inayopelekea uwezekano wa kuvunjika kwa kundi hilo.
P-Square wote kwa nyakati tofauti jana walitumia picha inayofanana na ujumbe unaofanana vilevile kushare Instagram ili kuonesha kuwa kinachoendelea kati yao (bifu/ugomvi) sio kitu kizuri kwani kinafanya wagawanyike kifamilia na kushindwa kushirikiana.
Ujumbe walioandika
“Tunafuraha, Familia kwanza!”
A photo posted by Paul Okoye (Psquare) (@rudeboypsquare) on
We are there live!!!! Rotterdam Netherlands on da 26th March 😜😜👍 @palmundofestival
A photo posted by Paul Okoye (Psquare) (@rudeboypsquare) on