×

Amnyatia mkewe akioga

Baada ya wiki iliyopita kuwaelezea nilipotinga kijijini kwetu na kuopoa totoz. Leo hii tunaendelea tena na kona yangu ya Zee la Chabo.

Unajua toto lilikuwa jeupe utafikiri limeumbwa mchana kweupe. Kila alipoulizwa juu yangu alikubali bila kupingwa. Kama kawa mzee mzima nikatinga nalo tauni, kila rafiki yangu alipomuona hakusita kunisifia uwezo wa nyavu zangu kuvua samaki anayepatikana katikati ya bahari, sehemu inayowashinda watu wengi.

Ukweli umbile la mke wangu halikunichosha kulitazama kila nilipokuwa naye karibu. Kilichoniudhi ni tabia ya mke wangu kutokutaka kufanya mchezo wetu usiku lazima tuzime taa. Mke wangu alikuwa na aibu sana!
Alikuwa hawezi kuvua nguo mbele yangu, zaidi ya kujifunga kanga. Hakujua mwenzie nilikuwa na hamu ya kuuona mwili wake ‘LIVE’. Nilijikuta naumia mtoto wa kiume, mke wangu kwa kweli alininyima raha. Ndipo nilipopata wazo lililonisababishia niwe kwenye hali hii.

Wazo lilikuwa nimnyatie wakati akioga ili nimchungulie, baada ya kuona nimekosa mbinu zote za kuutazama mwili wake kwa uwazi japo mimi ni mumewe wa ndoa.
Itaendelea wiki ijayo.

Leave a Comment