×

April 2017

Upelelezi Kesi ya Wema Wamshangaza Hakimu

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA JANA Aprili 12, nyota wa sinema za Bongo, Wema Sepetu alipanda tena...

READ MORE

MTV Base Yawataja Wasanii 4 Wa R&B Wa Kuwasikiliza Zaidi Kutoka East Africa; Tanzania Wapo Wawili

Bongo Fleva inakua kila siku na yote ni kutokana na juhudi za wasanii wetu kutoa kazi bora zinazokubalika sio tu...

READ MORE

Nisha na Majanga ya Kuvunjiwa Duka Lake

Na MAYASA MARIWATA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA   MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuhusu duka...

READ MORE

Q Chillah Kumwanika Mpenzi Wake

  Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MSANII wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’  anayetamba na Wimbo wa...

READ MORE

Huku Vanessa Mdee, Jux Wakidaiwa Kumwagana, Mbunge wa CCM Afungukia Uhusiano Wake na Vanessa Mdee

DAR ES SALAAM: Baada ya uvumi wa muda mrefu unaomhusisha Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Diamond Anunua Hammer Sauzi

  STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameonyesha gari lake jipya aina ya Hammer alilolinunua kwa ajili...

READ MORE

Yasome Magazeti Yote Tanzania Leo Alhamisi, Aprili 12, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 13, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mahakama Yakubali Shkuba na Wenzake Wakashtakiwe Marekani

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeyakubali maombi ya Serikali ya Marekani ya kuwataka raia watatu wa Tanzania akiwemo Mfanyabiashara...

READ MORE

Kumradhi Wasomaji Wetu

KUMRADHI WASOMAJI WETU: Kwa takriban siku tatu zilizopita mtandao wenu pendwa haukuwepo hewani au ulikuwa unapatikana kwa shida. Hii ilitokana na...

READ MORE

Heche Azungumzia Migogoro ya Ardhi Tarime

MBUNGE wa Jimbo la Tarime (Chadema) John Heche, amezungumzia hofu iliyoibuka miongoni mwa wananchi wa Tarime baada ya ardhi yao...

READ MORE

Video: Sirro Amdaka Polisi Feki Uwanja wa Fisi Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 8/04/2017 majira ya mbili usiku maeneo ya Tandale Uwanja wa...

READ MORE

Aliyeishambulia Borussia Dortmund Akamatwa

     Maafisa wa polisi nchini Ujerumani wanamshikilia mshukiwa mmoja anayehusishwa na itikadi kali za Kiislamu kufuatia shambulio la bomu katika...

READ MORE

Wadau Waombwa Kuisapoti Timu ya ‘Wheelchair Tennis’

WADAU mbalimbali wa mchezo wa tennis inayochezwa kwa kutumia baiskeli za miguuu mitatu (Wheelchair) nchini wameombwa kuchangia timu hiyo ambayo...

READ MORE

CUF Ya Maalim Seif Yamwomba Lipumba Asiwavuruge Wanachama

  VIONGOZI wa Matawi ya Hamasa Mkoa wa Dar es Salaam wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF)...

READ MORE

Kama Unawapenda Wanao, Kwa Nini Walelewe na Hausigeli kwa Asili 100%?

KAMA wewe ni mfuatiliaji wa makala zangu, utakumbuka niliwahi kuandik sifa za binti anayefaa kuwa dada wako wa kazi nyuumbani...

READ MORE

Nape Aangushiwa Dua na Waislamu Kanisani Lindi

LINDI: Katika hali isiyo ya kawaida,wananchi wa Kijiji cha Majengo, kilichopo kwenye Jimbo la Mtama, mkoani Lindi ambao ni Waislamu,...

READ MORE

JINI MTU-09

Ghafla.. Nilistuka kutoka katika usingizi ilikuwa ni saa kumi na mbili asabuhi ndani ya gereza la bangwe, nilijinyanyua mahala pale...

READ MORE

Mahakama Yamuachia Huru Askofu Gwajima

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye alikuwa anakabiliwa na...

READ MORE

Aliyepeleka Mgonjwa India Aporwa

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI NEW DELHI: Mwanamke mmoja raia wa Tanzania, ambaye yupo India alikompeleka mwanaye mwenye umri...

READ MORE

VIDEO: Sentensi 26 za Rais Magufuli Leo Aprili 12, 2017

RAIS Dkt John Pombe Magufuli, leo Aprili 12, 2017 ameweka Jiwe la Msingi kuashiria uzinduzi rasmi ujenzi wa Mradi wa...

READ MORE

Mgonjwa wa Maumbile ‘Sauzi’ Afariki Dunia

SALUM MILONGO NA MTANDAO ONTLAMETSE Phalatse raia wa Afrika Kusini aliyekuwa na ugonjwa wa maumbile, amefariki dunia usiku wa kumkia...

READ MORE

Wayne Rooney Atangaza Kusepa Man Utd

Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney ataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Mmoja wa wachezaji wa timu hiyo...

READ MORE

Zantel Yashiriki Udhamini wa Shindano la ‘Shika Ndinga’ Mwananyamala

Washiriki wa shindano la Shika Ndinga linaloendeshwa na kituo cha redio Efm na kudhaminiwa na Kampuni ya Zantel wakichuana katika...

READ MORE

Joseph Omog: Sikuamini Kama Tutawafunga Mbao

Said Ally| Championi | Dar es Salaam KOCHA wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, ameweka wazi kwamba kitendo cha...

READ MORE

Bosi wa Freemason Azikwa kwa Kuchomwa Moto Dar

DAR ES SALAMA: Mwili wa aliyekuwa kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Andy Chande, aliyefariki Aprili 7,...

READ MORE

Kipa Mbao: Niliona Mauzauza Bao la Mzamiru

Idd Mumba | CHAMPIONI| Mwanza KIPA wa Mbao, Erick Ngwengwe, amesema aliona mauzauza kwenye mabao matatu aliyofungwa na Simba, juzi. Simba...

READ MORE

Azam Walia Majeruhi Kuwafelisha

Omary Mdose | CHAMPIONI| Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa, kitendo cha timu ya Azam FC kukumbwa na wachezaji wengi majeruhi...

READ MORE

Sababu 10 Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito

WAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito. Zipo Sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya...

READ MORE

AMANDA: Tatuu ni Kama Teja wa Unga

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MWANADADA kutoka Bongo Muvi, Amanda Poshi ameibuka na kusema kuwa kuchora michoro mwilini...

READ MORE

Mastaa Simba Wawekewa Milioni 20 Mezani

  Said Ally |CHAMPIONI| Dar es Salaam BAADA ya kufanikiwa kupata pointi tatu mbele ya Mbao FC, uongozi wa timu...

READ MORE

Ajira Inazidisha au Inapunguza Upendo?

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| MAKALA HAYA tena leo kama kawaida tunakutana kwenye kijiwe chetu cha kupeana somo na wakati...

READ MORE

Rais Magufuli Akizindua Ujenzi wa Reli ya Kimataifa Dar-Moro

RAIS Dkt John Pombe Magufuli amezindua Rasmi ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya Kimataifa ambayo treni ya kisasa...

READ MORE

Ridhiwani: Baba na Magufuli Wanachonganishwa

DAR ES SALAAM: Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mtoto...

READ MORE

Ishu ya Roma, Davina Amuunga Mkono Wema

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES BAADA ya supastaa wa filamu Wema Sepetu kuwashutumu wenzake wa Bongo Muvi kwa...

READ MORE

Rais Magufuli Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo  anatarajia kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya...

READ MORE

Hassan William Mbeya: ‘Nilikuwa Msukule kwa Miaka 12’

DAR ES SALAAM: Kazi ipo! Hassan William (28) ni kijana, mwenyeji wa Kijiji cha Uturo, Mbeya ameibuka na kudai kuwa,...

READ MORE

Mambo 10 Yanayofanya Mtu Kunenepa..

WIKI iliyopita nilieleza kwa urefu tatizo la watu wanene na tukazitaja sababu tatu za watu kunenepa ukiacha zile za kula...

READ MORE

Yasome Kwenye Tovuti Yetu Magazeti Yote Tanzania Aprili 12, 2017 ya Udaku, Hardnews na michezo

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 12, 2017. Ni yale ya...

READ MORE