×

April 2017

Uwanja wa Ndege Washambuliwa Mogadishu

TAARIFA kutoka Somalia zinaeleza kuwa mizinga kadha imerushwa dhidi ya uwanja wa ndege katika mji mkuu, Mogadishu. Shuhuda wa tukio...

READ MORE

Mpenzi Wangu Anapenda Ngono tu!

Na Anko Nangale/GPL HABARI anko? Nina mpenzi wangu nimeishi naye miaka miwili simuelewi, anapenda ngono tu. Nimeshachoka kuishi maisha ya...

READ MORE

Achana na Tukio la ROMA na Wenzake…. Mwinjilisti Dar Atekwa, Auwawa!

DAR ES SALAAM: Huku tukio la msanii wa Hip Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wasanii wenzake watatu kutekwa studio...

READ MORE

‘Shika Ndinga’ ya EFM, Washindi Wawili wa Pikipiki Wapatikana Tabata

WAKAZI wawili wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Amani Juma na Jeni Haonga, kupitia shindano la Shika Ndinga...

READ MORE

Diva, Ukubwa Haupigi Hodi

MOJA kati ya vitu ambavyo binadamu ameshindwa kuvizuia, ni kukua kwake, kiakili na kimwili. Ukiondoa matatizo ya kiafya yanayoweza kufanya...

READ MORE

Mapenzi ni Uwekezaji, Umewekeza na Nani?

KUISHI na mtu kama mpenzi wako, kunahitaji imani ya hali ya juu. Unapanda ‘mbegu ya uzima’ na mtu ambaye mmekutana...

READ MORE

Waziri Majaliwa Kaagiza Mkurugenzi wa Kampuni ya 4×4 Tanzania Limited Akamatwe

Waziri Majaliwa wa kwanza (kulia) akizungumza jambo.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu aliyoiunda ichunguze tuhuma za ubadhirifu kwenye Chama Kikuu...

READ MORE

Uthamani wa Muvi ni Uhalisia

Na Salum Milongo/GPL Neria ni filamu ya Zimbabwe aliyochezwa mwaka 1993, iliyoandikwa na mwandishi Tsitsi Dangarembga. Filamu hii iliyoongozwa na...

READ MORE

Matumizi ya Bangi Kuidhinishwa Kenya

ZAIDI ya Wakenya 1,400 wanaunga mkono ombi la kutaka kuidhinishwa kwa matumizi ya mmea wa bangi baada anayewasilisha hoja hiyo...

READ MORE

Pasaka Ya Leo Harmorapa kuweka Historia! Kushuka na Helikopta Dar Live!

 Pasaka hii Harmorapa kuweka historia! Kushuka na Helikopta Dar Live! Mashabiki wake wa mwanzo kuingia BURE! Wengine kiingilio shs 5000...

READ MORE

Nafasi za Kazi Soma Hapa!

MTU BINAFSI NAFASI: Vijana wa mauzo (nafaka maharage) SIFA: Awe na umri wa miaka 18 (wake kwa waume), uwezo wa...

READ MORE

Yasome kwenye Tovuti Yetu Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumapili, Aprili 16, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 12, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Afa Kisa Goli la Simba

STORI:GLADNESS MALLYA | Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kifo popote! Mechi ya Simba na Mbao FC iliyochezwa Aprili 10, mwaka huu...

READ MORE

#GlobalTV: Tazama LIVE Movie ya PAIN FOR NOTHING

GLOBAL TV Online inakuletea ‘short film’ ijulikanayo kwa jina la Pain For Nothing-Part 1 kutoka kampuni maarufu ya filamu ya...

READ MORE

Toto Africans 0-0 Simba, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

FULL TIME: Dakika ya 90 + 5: Mwamuzi anamaliza mchezo, matokeo ni 0-0, Simba sasa inafikisha pointi 62 katika michezo...

READ MORE

Video: Duka la Kisasa la GSM Mall Lashika Moto Dar

 Magari ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yakiwa nje ya duka kubwa la GSM Mall, tayari kuzima moto uliokuwa unaunguza...

READ MORE

Video: Mwigulu Awaongoza Wananchi Kuwaaga Polisi 8 Waliouawa Kibiti, Pwani

Kamanda wa Polisi Temeke Gilles Muroto akiaga.

READ MORE

Video: Kiama cha wenye Vyeti feki, Watumishi Hewa Kimewadia! – Rais Magufuli

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mabweni mapya UDSM. Rais Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Kikosi cha Simba dhidi ya Toto African leo

Klabu ya Simba SC kimeweka hadharani kikosi chake cha wanajeshi 11 kitakachokwenda kuvaana na Toto African mchana wa leo kwenye...

READ MORE

Vanitha: Mume Wangu kwa Mchemsho, Hajambo!

Na Imelda Mtema | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME Mambo vipi mpenzi msomaji wangu wa safu hii ya Mpaka Home?...

READ MORE

Gbadolite: Paradiso ya Mobutu Kijijini Kwao Iliyobaki

  Mwandishi: Walusanga Ndaki | RISASI JUMAMOSI| NAKUJUZA ZAIDI ALIKUWA ni mmoja wa viongozi wa Afrika waliodaiwa kuwa wanapenda kuishi...

READ MORE

Makundi ya Fainali za Vijana Zitakazofanyika Nchini Gabon

Makundi ya Fainali za vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika Mei (14-28), 2017 nchini Gabon

READ MORE

Rais Magufuli Akizindua Ujenzi wa Maghorofa Magomeni Kota

Rais Magufuli akihutubia Rais wa Jamhuri ya Serikali ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi ujenzi wa...

READ MORE

Jini Mtu-10

Niliibuka mbele ya watu wanne katika jumba lililokuwa halijamilika kujengwa, wale watu wanne kimwonekano walikuwa ni vijana waliozamia katika matumizi...

READ MORE

Mourinho: Ibrahimovic, Lingard wameniangusha

KOCHA Jose Mourinho amewalalamikia washambuliaji wake wa Manchester United wakiwemo Zlatan Ibrahimovic na Jesse Lingard, kuwa ni sababu ya wao...

READ MORE

Video: Walichokizungumza Viongozi Mbalimbali Uzinduzi wa Mabweni Mapya UDSM

HOTUBA YA WAZIRI NDALICHAKO UZINDUZI WA MABWENI MAPYA UDSM

READ MORE

Maamuzi Ya Kagera Sugar Baada Ya TFF Kuchukua Pointi Tatu

Uongozi wa Kagera Sugar umeandika barua Kwa Shirikisho  la Soka Tanzania (TFF), ukipinga klabu ya Simba kupewa Pointi tatu. Kagera...

READ MORE

Kila la kheri Yanga, Tuichangie Serengeti Boys

YANGA leo ipo ugenini kucheza na MC Alger mechi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa...

READ MORE

Video: Harmorapa, Juma Nature, Msaga Sumu Kuandika Historia Sikukuu ya Pasaka – Dar Live

MKALI asiyeshikika katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Juma Kassim ‘Nature’ na Harmorapa wanatarajiwa kulivuta Jiji la Dar Sikukuu ya...

READ MORE

Simba na Toto Kitaeleweka Leo Uwanja wa CCM Kirumba

Johnson James, Mwanza, Championi Jumamosi LEO Toto Africans inaikaribisha Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa kuchezamechi ya Ligi...

READ MORE

Mtoto Ampunguza Kilo Uwoya

STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo Muvi, Irene Uwoya amesema amepungua...

READ MORE

Kababu za Mayai na Nyama ya Kusaga

Na Gladness Mallya | RISASI JUMAMOSI | MAPISHI NI wiki nyingine tena mpenzi msomaji tunakutana tena katika safu hii ya...

READ MORE

Q-Chillah: Sikuacha Unga kwa Kwenda Soba

STORI: GABRIEL NG’OSHA | RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu MKALI wa Voko kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya April 15

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 15, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mapenzi ni Uwekezaji, Umewekeza na Nani?

Erick Evarist | RISASI JUMAMOSI | LOVE STORI KUISHI na mtu kama mpenzi wako, kunahitaji imani ya hali ya juu....

READ MORE