×

May 2017

Hussein Machozi: Kuna Maisha Nje ya Muziki

Makala: Ojuku Abraham| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MIONGONI mwa wasanii ambao walipata kuliteka soko la Muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo...

READ MORE

Utoto Wamtesa Tunda Kimapenzi

Boniphace Ngumije| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES UTOTO unaonekana kumtesa muuza sura kwenye video za wasanii wa Kibongo, Tunda Sebastian ambaye...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Mei 3

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 3, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Unaanzaje Kumponda Anayekupigania?

NIMEKEREKA hadi nimepoteza siku yangu, yaani kanikera hasa mtoto wa Kidigo, kama ningekuwa na uwezo ningemzabua vibao nijue moja, lakini...

READ MORE

Apata Kiwewe Baada Ya Kushindia Bilioni 4.8 Kutoka ‘Sports Betting’

Samuel Abisai wa Kenya amejishindia Ksh. milioni 221 (sawa na Sh. Bilioni 4.8 za Kitanzania) kutoka kampuni ya Bahati Nasibu...

READ MORE

Media Day: Vyombo vya Habari Viendane na Mabadiliko ya Kiteknolojia

     Na Johnson James | GLOBAL PUBLISHERS| MWANZA Vyombo vya habari  nchini vimetakiwa kuendana na mabadiliko ya teknolojia kama lengo...

READ MORE

Kesi ya Wakurugenzi JamiiMedia… Maswali ya Tundu Lissu kwa Mpelelezi

DAR ES SALAAM: Baada ya kuahirishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za...

READ MORE

Majina ya Vigogo Yatikisa Vyeti Feki

STORI: BRIGHTON MASALU | UWAZI |DAR ES SALAAM Makali ya uhakiki wa vyeti feki, yameacha vilio, maumivu na mateso, kufuatia...

READ MORE

Fainali Ya Shirikisho… Simba vs Mbao Kupigwa Jamhuri, Dodoma

Hatimaye fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Mbao FC dhidi ya Simba itafanyika Mei 28 kwenye Uwanja wa Jamhuri...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-16

Wakati anatueleza hayo mara tukasikia sauti kali kutoka kwenye kichaka kilichokuwa karibu na pale tulipokuwa MAKALA: ELVAN STAMBULI NA MTANDAO...

READ MORE

Wema Sepetu Apanda Kizimbani Kisutu

…Wakiwa mahakamani hapo. Wema akiondoka katika mahakamani baada ya kesi yake kuahirishwa. LEO Mei 2, nyota wa sinema za Bongo,...

READ MORE

VIDEO: Wabunge ‘Wamlilia’ Halima Mdee Bungeni

DODOMA: WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila kujali itikadi ya vyama vyao, wameungana kwa kauli moja...

READ MORE

Kila la Kheri Form 6, Ratiba Yao ya Mitihani Iko Hapa

Kampuni ya Global Publishers inawataika mtihani mwema watahiniwa 74,963 ambao wameanza mitihani yao ya kidato cha sita leo nchini kote...

READ MORE

Sijamuelewa Waziri Kairuki na Sifa ya ‘Kujua Kusoma na Kuandika tu’

NA WALUSANGA NDAKI | UWAZI | NIONAVYO MIMI HATIMAYE minong’ono, manung’uniko na wasiwasi kuhusu uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa...

READ MORE

Wafanyakazi wa Zantel waadhimisha Siku ya Afya na Usalama Duniani

  Meneja wa Afya, Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Nashon Mudala (aliyesimama kulia) akifafanua kuhusu alama...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni, Kipindi cha Maswali na Majibu – Mei 2

LEO Mei 2, 2017 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea na vikao vyake mjini Dodoma ambapo leo Bajeti...

READ MORE

Shinda Nyumba… Pikipiki, Phantom 6, Kutolewa Kesho!

NA MWANDISHI WETU | UWAZI | SHINDA NYUMBA WASHINDI wanne wa droo ndogo ya tatu ya Shinda Nyumba Awamu ya...

READ MORE

Tunda: Mwanaume Niliyetamani Kuwa Naye Si Young D

Na Boniphace Ngumije | UWAZI VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebasita ‘Tunda’ hivi karibuni ameibuka na kumkana aliyewahi kuwa mpenzi...

READ MORE

Roma: Kamwe Sina Nidhamu ya Uoga

Na Ally Katalambula | UWAZI | DAR ES SALAAM Staa asiyechuja wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ amefunguka...

READ MORE

Maua Afunguka Kinachomkwamisha

Na Boniphace Ngumije | UWAZI | SHOWBIZ MWANAMUZIKI aliyetamba na Wimbo wa Mahaba Niue, Maua Sama ameeleza namna ilivyo vigumu...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Mei 2

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 2, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mpoto Asikitishwa na Wanamuziki

Na Boniphace Ngumije | UWAZI | SHOW BIZ MWANAMUZIKI anayefanya vizuri katika gemu la Muziki wa Asili nchini, Mrisho Mpoto...

READ MORE

Chakula cha Kuzuia Kuzeeka Haraka

Na Nwandishi Wetu | Uwazi| YOU ARE WHAT YOU EAT ILI kudumisha muonekano wa ujana kwa mwili wako unahitaji kuupa...

READ MORE

Caf Washikilia Mkataba wa Mkude

Na Khadija Mngwai | CHAMPIONI|GPL MICHUANO ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) imemzuia kiungo wa Simba, Jonas...

READ MORE

Choki Afungiwa Twanga Miezi Miwili

Issa Mnally na Richard Bukos |CHAMPIONI| GPL BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ ya jijini Dar, imempiga stop mwanamuziki wake...

READ MORE

Yanga Yabadili Majukumu ya Kotei Simba

Na Wilbert Molandi KOCHA Msaidizi wa Simba, Mganda, Jackson Mayanja, ametaja sababu ya kumchezesha nafasi ya beki wa kati Mghana,...

READ MORE

Serengeti Boys Wakiboronga Gabon Tusiwalaumu

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys, kipo nchini Cameroon kwa ajili ya kambi...

READ MORE

Mghana wa Simba Aweka Rekodi ya Pekee FA

Na Omary Mdose | CHAMPIONI MLINDA mlango namba moja wa Simba, Daniel Agyei, raia wa Ghana, ameweka rekodi ya kipekee...

READ MORE

Bocco: Kama Siyo Sure Boy, Simba Wasingetoka

Na Said Ally | CHAMPIONI | GPL NAHODHA na mshambuliaji wa Azam, John Bocco, ameweka bayana kuwa kadi nyekundu aliyopata...

READ MORE

Pluijm Awazuga Simba kwa Ajibu, Mkude

Na Wilbert Molandi KOCHA Mkuu wa Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amesema hakuna mazungumzo yoyote yanayoendelea kati yao...

READ MORE

Mafuta ya Nguruwe Yaiponza Simba

Na Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI|GPL KLABU ya Simba huenda ikajikuta ikiingia matatani kwa mara nyingine tena na Shirikisho la Soka...

READ MORE

Kha! Shehe Yamkuta, Picha Zake na Mchepuko Bofya Hapa!

Stori: Mwandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA  | MWANZA Kamati ya Mashehe Mkoa wa Mwanza, wiki iliyopita ilimsimamisha huduma Shehe Mkuu...

READ MORE

Mei Mosi Ilivyoadhimishwa Dar

Mgeni rasmi katika madhimisho hayo ya Mei Mosi 2017,  Margareth Sitta,  akizungumza katika sherehe hizo. Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi...

READ MORE

Utajiri: Suti Zamtajirisha Bilionea Delano

MAKALA: NYEMO CHILONGANI NA MTANDAO | IJUMAA WIKIENDA BADO kuna watu wanaamini kwamba utajiri ni bahati. Kuwa, kuna wengine wameandikiwa...

READ MORE

Ajira Mamlaka ya Bandari (TPA), Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Vitendo

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatarajia kuendesha Usaili wa Vitendo kwa...

READ MORE

Omog: Achana na Ndege, Tunataka Ubingwa Sisi

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI | DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog, amesema kuwa bado malengo...

READ MORE