×

May 2017

Mil 300 Zatengwa Kumung’oa Mwakifwamba Urais Bongo Muvi

Na Gladness Mallya | AMANI |Dar es Salaam Wakati mambo yakizidi kupamba moto kutokana na maandamano yaliyofanywa hivi karibuni na...

READ MORE

Pam D, Gigy Money Kukalishana Dar Live

  GAZETI LA AMANI | SHOWBIZ EXTRA | DAR LIVE WAKATI ikiwa imesalia siku moja kufikia Mei 6, King of...

READ MORE

Sajent Aingia Mtego wa Kujiuza

STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM Kumekuwa na skendo nzito kwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo...

READ MORE

Supu ya Kichwa cha Samaki

LEO tutaongelea jinsi ya kupika supu ya kichwa cha samaki, inaweza kuwa aina yoyote ile ya samaki. Kuna wasiopenda kichwa...

READ MORE

Amanda Awashangaa Wanaume Kuhonga

GABRIEL NG’OSHA GAZETI LA AMANI, HABARI SEXY lady kunako tasnia ya Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’ ameshangazwa na tabia ya...

READ MORE

Scene za Mapenzi Zamtesa Mwanaheri

 MAYASA MARIWATA, GAZETI LA AMANI, HABARI MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed, amefunguka kuwa, suala la kucheza ‘sini’ (scene) za...

READ MORE

Msanii wa Chuz Apandisha Mashetani

 MAYASA MARIWATA, GAZETI LA AMANI, HABARI MWIGIZAJI aliye chini ya mkongwe wa filamu za Kibongo, Tuesday Kihangala ‘Chuz’, Angel Jackson...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Mei 4, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 4, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mwakyembe Apiga Marufuku Magazeti Kusomwa Redion na Katika Television

GABRIEL NG’OSHA GAZETI LA AMANI, HABARI MWANZA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, jana kwenye Maadhimisho...

READ MORE

Kukosa Msisimko wa Tendo la Ndoa kwa Wanawake

Kukosa msisimko wa tendo la ndoa kwa wanawake- (Female Sexual Arousal Disorder -Fsad) WANAWAKE wengi wanasumbuliwa na tatizo la kukosa...

READ MORE

Haki za Binadamu Yazindua Taarifa Yake ya 2016

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) leo kimezindua taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini katika...

READ MORE

Video: Mbunge Atema Cheche Siku ya Uhuru wa Habari

Na Elvan Stambuli DAR ES SALAAM: Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Mkoa wa Dar es Salaam, Salma Mwasa ametema cheche...

READ MORE

Dereva Aliyesababisha Vifo vya Wanafunzi Wawili Akamatwa

KAMISHNA wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro, amethibitisha kutokea kwa vifo vya wanafunzi wawili, Itlamu Athumani (mwanafunzi...

READ MORE

Media Day: Wanahabari Walaani Vitendo vya Kunyanyaswa na Viongozi na Wanasiasa

Bi Salome Kitomari akizungumza wakati wa kongamano hilo. Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Bi Salome Kitomari amelaani vitendo vya baadhi ya...

READ MORE

VIDEO: NEC Yatangaza Nafasi Iliyoachwa na Mbunge Elly Macha

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi  ya mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya Chadema Nafasi hiyo imetangazwa...

READ MORE

AVEVA LIVE: Sakata la Pointi 3 za Kagera, Simba Kuishtaki TFF kwa FIFA

LEO May 3, 2017 katika Makao Makuu ya Klabu ya Simba, Kariakoo jijini Dar es Salaam, Rais wa timu hiyo...

READ MORE

Shirika la Ndege Etihad Lamteua Gavin Halliday Kuwa Mkurugenzi Mtendaji

Shirika la Anga la Etihad (EAG) limetangaza uteuzi wa Gavin Halliday kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hala Group ikiwa...

READ MORE

Shinda Nyumba: Pikipiki, Phantom 6, Dinner Set Vyakabidhiwa Washindi

NA MWANDISHI WETU | GLOBAL PUBLISHERS | SHINDA NYUMBA WASHINDI wanne wa droo ndogo ya tatu ya Shinda Nyumba Awamu...

READ MORE

Mrithi wa Zulu Yanga Ataka Gari, Nyumba

Wilbert Molandi | Championi Jumatano | Habari KLABU kongwe ya Yanga imemweka kando kiungo wa Mbeya City, Kenny Ally kwenye...

READ MORE

Himid Mao Kasepa Zake Denmark

Musa Mateja | CHAMPIONI | Dar es Salaam KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Himid Mao, juzi Jumatatu alikwea pipa na...

READ MORE

Simba Yajichimbia Jeshini Kujiandaa na Ligi Kuu

Sweetbert Lukonge | Championi Jumatano | Habari BAADA ya Jumamosi iliyopita Simba kutinga fainali ya Kombe la FA, jana Jumanne...

READ MORE

Bella Kuwa Refa Gigy Money vs Pam D, Dar Live

  WAKATI zikiwa zimesalia siku mbili kufikia Mei 6, King of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuwa refa...

READ MORE

Breaking News: Hatimaye Serikali Imesikia Kilio cha Watumishi Wenye Vyeti Feki

NA MOHAMMED ZENGWA | GLOBAL PUBLISHERS | DODOMA DODOMA: Serikali imetoa nafasi kwa watumishi wanaodhani kuwa wameonewa, baada ya kutajwa...

READ MORE

JINI MTU-13

Mvua kubwa ya upepo na mawe ilinyesha zaidi ya masaa mawili..baada ya kutoka katika mapambano makali kule katika makabuli ya...

READ MORE

Yanga SC Yatua Usiku Kuwasubiri Prisons Taifa

Wilbert Molandi | Championi Jumatano | Habari MSAFARA wa wachezaji 22 na viongozi wa Yanga, umepanga kutua jijini Dar es...

READ MORE

StarTimes Yaichangia Serengeti Boys Sh Milioni 20

Mwandishi Wetu | Championi Jumatano | Dar es Salaam STAR Media Tanzania kupitia kampuni yake ya StarTimes Tanzania imekabidi hundi...

READ MORE

JB, Ray, Rich Wabanwa Kuhongwa Viwanja

STORI: GLADNESS MALLYA NA ERICK EVARIST | RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Baada ya kuwepo kwa madai kuwa mastaa wa...

READ MORE

Yanga Yahofia Kukosa Kombe la Sita Msimu Huu

BENCHI la ufundi la Yanga chini ya kocha wake mkuu, George Lwandamina, limeweka bayana kuwa sasa linaelekeza nguvu zake kuhakikisha...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Atupia bao 3-0 dhidi Ya Atletico Madrid UEFA

MADRID, HISPANIA | CHAMPIONI JUMATANO | LIGI YA MABINGWA ULAYA REAL Madrid wameendeleza umwamba kwa wapinzani wao wakubwa Atletico Madrid,...

READ MORE

Shilole Apata Mwanaume wa Kumuoa

STORI: GLADNESS MALLYA NA HAMIDA HASSAN | RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Baada ya sarakasi nyingi za kubadili wanaume huku...

READ MORE

Meneja: Mo Ibrahim Anaondoka Simba

Sweetbert Lukong | CHAMPIONI | Dar es Salaam WAKATI Simba ikiwa katika harakati kabambe za kuhakikisha msimu huu inatwaa ubingwa...

READ MORE

Patcho Mwamba Kujikita Kotekote

Stori: Issa Mnally | RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MWANAMUZIKI nguli wa Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma,’ Patcho Mwamba...

READ MORE