×

May 2017

#GlobalCelebNews: Jay Z na Beyoncé Wana Utajiri Zaidi ya Dola Bn. 1

WANANDOA wawili wakali wa wanamuziki wa familia ya Carters, ambao ni Jay Z na Beyoncé wana mkwanja unaovuka Dola bilioni...

READ MORE

Meya wa Arusha, Waandishi 10, Wakamatwa Wakiwa Lucky Vincent

Wamiliki wa Shule Binafsi waliyokwenda kutoa rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent kufuatia ajali iliyouwa watu 35 hivi...

READ MORE

TANZIA: Mfanyakazi wa Global Afiwa na Mama’ke

    Na Dustan Shekidele, Morogoro Dereva wa Kampuni ya Global Publishers, Heladius Banzi amepata pigo baada ya kufiwa na...

READ MORE

Mwigulu: Matibabu Kwanza PF3 Baadaye

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuanzia sasa mtu yoyote atayeweza kupata majeraha yasiyokuwa na...

READ MORE

PICHA: Wamarekani Wafanikisha Upasuaji Mkubwa wa Wanafunzi Lucky Vincent

     Watoto watatu wa shule ya msingi ya Lucky Vicent walionusurika katika ajali ya basi, wamefanyiwa upasuaji na sasa...

READ MORE

Usikose Kutazama LIVE SpotiHausi Leo, Saa 10:00 Jioni – Global TV Online

#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip...

READ MORE

Mume wa Zari hoi Akisumbuliwa na Maradhi ya Shambulio la Moyo

STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM KAMPALA: Habari mbaya zilizolifikia Amani zinadai kuwa, aliyekuwa mume wa staa...

READ MORE

Jokha Kassim; Mtoto wa ‘Prezdenti’ Kaamua Kamtuliza

MAKALA: ISSA MNALLY | GAZETI LA AMANI KAMA wewe ni mdau wa Muziki wa Taarab utakubaliana na mimi kwamba, mwanamama...

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Bado Inazidi Kupeta Mitaa Mbalimbali

KWA uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Amani, inaonesha kuwa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili bado inazidi kupeta...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Alhamisi Mei 18, 2017

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili na kupitisha...

READ MORE

Global TV Online Inakupa SmartPhone ya Bure… Bofya Hapa!

Subscribe hapa #GLOBALTVONLINE https://www.youtube.com/user/uwazi1

READ MORE

Kiongozi Mwingine Auawa kwa Risasi Rufiji – Pwani

Kibiti: Mwenyekiti wa CCM tawi la Njia nne Iddy Kirungi liliopo katika kijiji cha Muyuyu Kata ya Mtunda wilayani hapa...

READ MORE

Undani wa Kifo cha Dogo Mfaume na Ugonjwa Uliomuua, Uswahilini Simanzi tupu

Dogo Mfaume – Kazi Ya Dukani (Official Video) STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Mke wa Mzee Yusuf Atamani Kuacha Muziki Kama Mumewe

  RICHARD BUKOS | GAZETI LA AMANI| DAR ES SALAAM MUIMBAJI wa Kundi la Jahazi Modern Taarab, Leyla Rashid, amefunguka...

READ MORE

Kisa Ajali ya Wanafunzi Arusha…‘School Bus’ Sasa Zawahenyesha Wazazi

STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM: Baadhi ya wazazi wenye watoto wanaosoma shule za...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Mei 18, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 18, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Ugonjwa Wa Ini ni Hatari Kuliko Ukimwi

Na Dk. Marise Richard | RISASI JUMATANO LEO tunakwenda mbele zaidi kuzungumzia ugonjwa hatari wa homa ya ini au Hepatitis...

READ MORE

Nora Afungukia Wasanii Kujiuza

Stori: Gladness Mallya | RISASI JUMATANO MKONGWE katika fi lamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ ambaye kwa sasa anajishughulisha na ujasiriamali...

READ MORE

Mke wa Kiongozi wa CCM, Kibiti Asimulia Mumewe Alivyouawa Kwa Risasi 10

STORI: WAANDISHI WETU | UWAZI | HABARI Pwani: Hali inazidi kuwa mbaya katika Wilaya za Kibiti, Rufiji na Mkuranga za...

READ MORE

VIDEO: Kama Serikali Mtayumba Katika Hili…. Wanakusini Hatutakubali -Nape

MBUNGE wa Mtama, Lindi (CCM), Nape Nnauye ameitaka serikali kuweka misingi thabiti ya utekelezwaji wa ujenzi wa viwanda hapa nchini...

READ MORE

Suluhu Afungua Mkutano wa Polisi Wanawake SADC

MAKAMU wa Rais, Samiah Suluhu, leo amefungua mkutano wa polisi wanawake wa Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC)...

READ MORE

TANZIA: Msanii Dogo Mfaume, Afariki Dunia

TANZIA: Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi ya Dukani amefariki dunia...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-15

MTUNZI: NYEMO CHILONGANI   Ibrahim alirudi mpaka kule alipokuwa akilala na Malaika, alipofika, hakumwambia kitu kwa kuwa alikuwa na watoto...

READ MORE

Wavunjaji wa Sheria za Huduma za Treni za Abiria Kufungwa Jela Miezi 6

  WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa treni za abiria za Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wametakiwa kuzingatia sheria za...

READ MORE

Majaliwa Mgeni Maadhimisho ya Ualbino

Na Gabriel Ng’osha/GPL WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uelewa Juu ya Ualbino...

READ MORE

Global TV Online: LIVE Kipindi Cha Wanyama

Kutoka Mbuga za Wanyama: Kipindi hiki kitaanza kuonyeshwa live leo kupitia Global TV Online Bofya Play  

READ MORE

Kikwete awa Mwenyekiti-Mwenza Baraza la Wakimbizi Duniani

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete ameteuliwa na Baraza la Wakimbizi Duniani (WRC) kuwa Mwenyekiti-Mwenza katika idara yake ya  utendaji ambapo Mwenyekiti...

READ MORE

Amber Lulu Acha Uchafu wa Mapicha, Fanya Muziki

NIANZE kumsh-ukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yangu na yako msomaji wa Barua Nzito, hasa baada ya kumaliza wiki...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi TIC na Katibu Tawala Morogoro

UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bw. Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Aidha Rais Magufuli...

READ MORE

Said Mecki Sadiki Ataja Sababu za Kuacha Kazi ya Ukuu wa Mkoa

Aliyekuwa  Muu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki , amesema ameamua kuondoka serikalini baada ya utumishi wa muda mrefu...

READ MORE

LIVE: SportPesa Waimwagia Mapesa Yanga

KAMPUNI ya Michezo ya Kubahatisha ya SportPesa ya nchini Kenya imetia saini mkataba wa kuidhamini Klabu ya Yanga kwa miaka...

READ MORE

Denti wa Kike ‘Aliyedeti ‘ Akutwa Amekufa

MWANAFUNZI wa kike Megan Bannister mwenye umri wa miaka 16 ambaye mwili wake ulikutwa katika gari dogo lililokuwa limeharibika katika...

READ MORE

Mwanza: Maajabu ya Mti Kupiga Kelele Ukipinga Kung’olewa (VIDEO)

AMA kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Taarifa zilizosambaa mitandaoni zimeeleza kuwa wakazi na watumiaji wa barabara ya Pasiansi...

READ MORE

Rostand: Sijaona Straika wa Kunisumbua Simba, Yanga

NA WILBERT MOLAND | CHAMPIONI | MAKALA KIPA raia wa Cameroon anayeidakia African Lyon, Rostand Youthe ni kati ya magolikipa...

READ MORE

VIDEO: Wazee Simba Wakinukisha Sakata la Mo Kujiondoa & Udhamini wa SportPesa

  Sakata la mabadiliko ya katiba ya Klabu ya Simba ambayo yanatajwa kuwa yanaweza kuifanya klabu hiyo kuingia katika uwekezaji...

READ MORE

Q-Chillah, Ray C, TID, Matonya, Marlaw na Besta Turudisheni Muziki Wetu

Stori: BRIGHTON MASALU | RISASI JUMATANO | RISASI VIBES “NINACHO-KIPATA, nagawana na wenzangu maskini zaidi yangu, wenye dhiki kama mimi,...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Mei 17, 2017

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili na kupitisha...

READ MORE

Viongozi wa Simba Wakutana na Mohammed Dewji Usiku

NA SWEETBERT LUKONGE | CHAMPIONI |HABARI UONGOZI wa Simba, jana ulitarajia kukutana na Mohammed Dewji maarufu kama MO, aliyeamua kujitoa...

READ MORE