TV namba moja Tanzania inayoruka kupitia Youtube Global TV Online imekuketea kipindi cha kusisimua cha maisha ya wanyama kutoka mbuga ya Serengeti na Ngorongoro, Tanzania. Kupitia kipindi hiki utajionea vitu ‘amazing’ vya maisha ya wanyama wakiwemo simba, twiga, tembo, swala na kadhalika.
1 Comment