Kipanya Ameamua Kuishi Maisha Bila Mawasiliano ya Wasiwasi
Global Publishers September 15, 2017 4,734 views 0 Comments
SHARE THIS:
Mchora katuni mashuhuri Masoud Kipanya ameamua kuishi maisha bila mawasiliano ya wasiwasi huku akiendelea kuwakaribisha watumiaji wa Vodacom kujiunga na huduma ya Vodacom Red RLX