×

Msemaji wa Serikali Atoa Mrejesho wa Ahadi za Serikali

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Hassan Abbas.

 

MKURUGENZI wa Idara ya Habari (MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Hassan Abbas, leo ameongea na wanahabari jijini Dodoma jinsi serikali ya awamu ya tano inavyoendelea kutekeleza kwa kasi ahadi zake.

 

Alisema hadi kufika machi 2017, pato la taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.1 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 kwa mwaka 2016 na kwamba serikali imetimiza ndoto ya kuendelea kulifufua shirika la ndege nchini (ATCL)  kwa kuleta ndegeaina ya Boeing 878 Dreamliner, ambapo ndege nyingine mbili za C Series zinakuja Novemba na Boeing nyingine moja itakayowasili Januari 2020.

Kusoma Hotuba nzima ya  Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas bonyeza hapa