×

Mdee Avuruga Bunge Sakata la Lugola ‘Ni Ufisadi Mkubwa’ – Video

MBUNGE wa Kawe (Chadema), Halima Mdee amesema atawasilisha ombi bungeni ili chombo hicho cha Dola kuunda kamati kuchunguza mikataba mbalimbali ya Jeshi la Polisi.

 

Naibu Spika, Dk Tulia Ackson ameikataa hoja ya Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee kwamba Bunge likubali kuunda kamati kuchunguza mikataba ya Jeshi la Polisi.

 

Leave a Comment