×

Yajue Maajabu ya Nyoka na Nyani, Utashangaa – Video

Kwa kawaida nyoka hutazamwa kwa hatari kubwa, waerevu na mara nyingine hata kuhusishwa na imani potofu na uchawi katika baadhi ya jamii za Kiafrika.

 

Kwa kawaida nyoka anakuwa juu ya orodha ya mambo ambayo mtu anaogopa maishani mwake. Maelfu ya watu duniani hufariki kutokana na sumu kali ya nyoka baada ya kuumwa kila mwaka kwa mujibu wa shirika la afya duniani.

 

Lakini kuna siri kubwa na yaabu ambayo kwa hakika itakufanya kuwa karibu na wanyama hasa nyoka na Nyani.

 

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE

(+255 784 888982)
(+255 676 229628)
Email: [email protected]
[email protected]

 

Leave a Comment