×

Manyama Naye Ajitosa Urais

Leonard Manyama (katikati) alipokuwa akitangaza nia ya kugombea Urais jana Jumanne.

Mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zimezidi kuchukua kasi ambapo mkazi wa Wazo Hill Dar, Leonard Manyama naye jana Jumanne amejitosa katika mbio hizo kwa kutangaza nia yake kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

 

Manyama alitangaza nia hiyo katika ofisi za Chama hicho zilizopo Wazo Hill, Dar na kumwaga sera zake mbele ya wanahabari na wanachama waliohudhuria mkutano huo.

HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS /GPL

Leave a Comment