Msanii Fayross toka Nchini Nigeria atanazamiwa kuanza tour yake Tanzania, Kenya na Uganda mwaka Ujao.
Hii ni baada ya msanii huyo kuweza kuachia singo yake “RACE” ambayo imefanya vizuri katika mwezi mmoja uliyopita.
Kupitia kwenye mitandao yake tumesoma na kuelewa kuwa mziki wake sasa uko kwenye kila mtandao na waeza kununuliwa wakati wowote na mafans wake ulimwenguni kote.
Fayross angependa kufanya kazi na producer S2kizzy pamoja na wasanii kama Baba levo na Juma Nature ambao anawapenda sana kwenye game ya Mziki.
Msanii Nandy pia yuko kwenye List yake ya wasanii ambao anapanga kufanya nao Colaboration ila pia atajumuisha madj hatari kama Rjtha DJ na Juma Jux pia mwaka Ujao.
Atakapokuja Tanzania anapanga kutua Mlima Kilimanjaro na pia kupata chakula kwenye Shishi Food na Esha Food stores kabla kuvishwa na Hamisa Mobetto.
Ila kijana huyo ameomba sana kukutana na Irene Wolper ili wafanye biashara naye
Tutazamie labda nywele zake atatengenezwa na Aristote.
Zidi kumfuatilia kwenye mitandao yake kwa jina @iam_Fayross.
