×

Rais Xi Jinping wa China Amlilia Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping amlilia aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alifariki dunia Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu kwa maradhi ya moyo.

Leave a Comment