×

Live: Rais Samia Ahudhuria Kuapishwa Kwa Rais Mteule Wa UgandaMuseveni..

RAIS Mteule wa Uganda, Yoweri Museveni, leo Mei 11 anaapishwa kuwa Rais wa Uganda baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekuwa miongoni mwa wageni waliohudhuria hafla hiyo..

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8​
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx​

Leave a Comment