×

Matiko Avuruga Bunge Ishu ya Jeshi – Video

Mbunge Viti Maalum Chadema, Ester Matiko, ameitaka Serikali kuweka mazingira mazuri ya Jeshi kwa kuwapatia pesa za maendeleo kwa wakati ili kulifanya Jeshi kufanya utafiti wa mambo mbalimbali.

Leave a Comment