×

Rais Samia Atangaza Siku Saba za Maombolezo

RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza siku 7 za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda, kilichotokea jana Juni 17, 2021, na kwa kipindi chote hicho bendera zitapepea nusu mlingoti.

 

Aidha Rais Samia Ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Zambia Edger Lungu, familia ya marehemu na wananchi wote wa Zambia kwa kumpoteza kiongozi wao.

 

 

Leave a Comment