×

Semina ya UWT Kwa Mabinti Yazinduliwa

Semina ya Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa mabinti ili kufikia ndoto zao, imezinduliwa Agosti 31, 2021 katika ukumbi wa Karimje uliopo Posta jijini Dar es Salaam na imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wanawake wa hapa nchini, ambapo mabinti nao walipata mafundisho mbalimbali.

Picha: Imelda Mtema.

Leave a Comment