×

Ratiba ya Ligi Kuu Yatangazwa, Simba Na Yanga Kukutana Desemba -Video

LIGI Kuu itaanza Septemba 29, 2021, ambapo miamba ya soka nchini Simba na Yanga zitapambana katika mechi ya Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Bara Desemba 11, mwaka huu.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania 2021/2022

Leave a Comment