×

Rais Samia Ashiriki Maadhimisho Ya Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Barabarani -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani kitaifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo tarehe 23 Novemba, 2021

Leave a Comment