×

Sheikh Mkuu Wa Dar Alhad Mussa Atumbuliwa, Mufti Amteua Sheikh Omar Kukaimu – Video

BARAZA la Ulamaa la Bakwata katika kikao kilichofanyika tarehe 1 Februari 2023 chini Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir limetengeua uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa Salum kama Sheikh mkuu wa mkoa Dar es Salaam kuanzia leo tarehe 2 Februari 2023. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam

Akizungumza na waandishi wa habari Februari 2, 2023, Katibu wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Hassan Said Chizenga amesema baraza hilo limemteua Sheikh Walid Alhad Omar kukaimu nafasi hiyo ya Sheikh Alhad Mussa Salum kuanzia leo.

Leave a Comment