×

Video: Maajabu! Mzee Aishi Kwenye Ndege Aina Ya Boeng 727 Kwa Miaka 22, Aeleza – “Sujutii”


Mhandisi mstaafu wa umeme wa nchini Marekani, Bruce Campell (64) amegeuza ndege aina ya Boeing 727 kuwa nyumba ya makazi katikati ya msitu anapoishi kwa miaka zaidi ya 22.

Campell alinunua kiwanja cha ekari 10 kwa dola elfu 23 za Kimarekani kwenye msitu wa Hillsbro huko Oregon nchini Marekani.

Alipanga kujenga nyumba ya kisasa ya makazi katika eneo hilo, lakini alipata fununu kuwa yupo Mama Joanne Ussery anayeishi kwenye ndege. Mhandisi huyo mstaafu alimtembelea Joanne na ndipo alipobadili mawazo ya kujenga nyumb

Leave a Comment