×

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris Atua Nchini na Kupokelewa na Dk. Mpango

 

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris akipewa maua na watoto mara baada ya kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

 

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Tanzania, Phillip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Kamala atafanya ziara ya siku mbili nchini Tanzania.

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris akisalimiana na Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango mara baada ya kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

 

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris akiongozwa kwenye zulia jekundu na Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango mara baada ya kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


 

 

Leave a Comment