×

Mo Dewji: Tulikataa Bil 2.5 Za Udhamini, Huwa Natwiti Mwenyewe Simba Ikifanya Vibaya! – Video

Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji amesema Klabu ya Simba ilikataa mkataba wa shilingi bilioni 2.5 ya mdhamini aliyekuwa anataka kukaa kifuani na badala yake wakaamua kuweka Visit Tanzania kuonesha uzalendo.

Mo ameyasema hayo katika mahojiano maalum na mwandishi mahiri wa habari za michezo, Saleh Ally ambapo pia amefunguka mambo mengine kibao.

Leave a Comment