×

Video: Mikopo Ya Uswahilini Inavyovunja Ndoa, Zai Kijiwe Nongwa Afichua Yaliyompata…| Mapito

Zai Kijiwe Nongwa ameteka tasnia ya ucheshi kupitia mitandao ya jamii na sasa anaeleza chanzo cha umaarufu wake akifanya mahojiano kupitia kipindi cha Mapito.

Pia Zai Kijiwe Nongwa ni maarufu katika mtandao wa ‘Tik Tok ‘ambao huweka mazungumzo yake kuhusu jamii inayomzunguka.

Leave a Comment