×

Meridianbet Yatoa Msaada Tabata Visiwani

Meridianbet wameendeleza utaratibu wao wa kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yake inayowazunguka ambapo leo wamefanikiwa kutia mguu maeneo ya Tabata Visiwani na kufanikiwa kugawa vifaa vya mazoezi kwa timu ya mazoezi (Jogging) eneo hilo inayofahamika kama Jogger.

Kampuni hiyo wanaunga mkono juhudi za watu kufanya mazoezi kwakua wanaamini watu wanapofanya mazoezi inawasaidia kuimarisha miili yao, Lakini pia mazoezi ni jambo ambalo linaweza kuwafanya watu kuepukana na magonjwa nyemelezi.

Kutoa msaada katika jamii ambayo imewazunguka imekua utamaduni kwa kampuni ya Meridianbet mara kwa mara ambapo wamekua wakirudisha kwenye jamii yao ambayo imekua imewazunguka na leo wamefanikiwa kufika maeneo ya Tabata Visiwani.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano kutoka Meridianbet Nancy Ingram alizungumza kwa niaba ya kampuni hiyo “Tunayo furaha kubwa kuwepo hapa Tabata Visiwani kuhakikisha tunagawa vifaa hivi vya mazoezi amabvyo vitakwenda kuongeza motisha kwa wakazi wa eneo hili kufanya mazoezi na kutunza afya zao.

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

Kiongozi wa timu hiyo ya Jogging inayofahamika kama Jogger alipata nafasi ya kuzungumzia pia msaada uliotolewa na Meridianbet “Kwanza kabisa napenda kushukuru kwa nyie kufika hapa leo na kuweza kutupatia vifaa vya mazoezi, Lakini pia mnaonesha mfano mkubwa kwa taasisi nyingine kutokana na namna mnajitoa kwa jamii yenu sisi kama Jogger tunashukuru sana kwa mlichokifanya leo”

Leave a Comment