Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff (katikati), amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora zimelenga kuvutia Uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania.
Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff, amesema kuwa Tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora zimeandaliwa kwa lengo la kuvutia uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania.
Waziri Shariff aliyasema hayo wakati akishiriki hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika Novemba 21, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam.


