×

Video: Kuna Chimbo Pikipiki, Bajaji Unaipata Kwa Laki 8 Tu, Keko Commission Agent

️️

Je, unatafuta pikipiki au bajaji bora kwa bei nafuu? Hapa ndipo mahali sahihi! Pata pikipiki na bajaji zenye ubora wa hali ya juu kwa bei kuanzia shilingi 800,000 tu!

USED Keko Commisson inakupa suluhisho linaloendana na bajeti yako. Tembelea ofisi zetu leo na unaweza kuondoka ukiendesha chombo chako mwenyewe!

Mahali: Keko DDC, Wilaya ya Temeke, mkabala na Jengo la Monalisa.

Mawasiliano:

0689 767 575 AU 0717 046 439

 

Leave a Comment