The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Sakata la Madawa ya Kulevya Sheikh Mkuu wa Dar Amuunga Mokono Makonda

IKIWA ni mwendelezo wa kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya hapa nchini,  hatimaye viongozi wa dini wajitokeza kumuunga mkono RC Makonda ili kuongeza nguvu katika kupambana na janga hili ambalo limekuwa tishio kwa afya za watumiaji na hata kwa jamii nzima kwa ujumla.

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum  amezungumza haya.

Comments are closed.