The House of Favourite Newspapers

Shehe Mkuu Dar amvaa Ben Pol

SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim amemvaa na kumuonya staa wa Bongo Fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’ ambaye hivi karibuni zilisambaa picha mitandaoni ikisemekana amebadili dini kutoka Ukristo na kuingia Uislam.…

SHEHE MKUU AMFUNGUKIA IRENE UWOYA

DAR ES SALAAM: Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa amemfungukia Msanii wa Filamu za Kibongo, Irene Uwoya baada ya kutangaza kwamba hakuolewa kwa dini ya Kiislamu na aliyekuwa mume wake, Dogo Janja (AbdulAzizi Chende) ambao wawili hao kwa…

Shehe mkuu atoa neno

Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa ametoa neno kwa wananchi wote na hasa Waislamu, akiwataka kuishi kwa maadili na matendo mema, wakati huu wakiwa wameanza Mfungo wa…

Mashehe wa Uamsho Washinda Rufaa

VIONGOZI wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheik Farid Hadi Ahmed na wenzake 35 wanaokabiliwa kesi ya ugaidi wameigaragaza tena serikali mahakamani, baada ya kushinda rufaa ya Serikali iliyokuwa ikipinga…

MASHEHE WAPONDA SADAK A YA DIAMOND!

LICHA ya kuonekana kuwa na dhamira njema ya kutoa sadaka/ zaka katika Sikukuu ya Idd, baadhi ya mashehe waliozungumza na Ijumaa Wikienda wamemkosoa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wakidai kuwa hakupaswa kufanya kwa…